

Description
Wakati wa miaka hiyo ishirini alikuwa akiulizwa maswali mengi kutoka katika Biblia na maswali mengine yalitokana na imani zao kulingana na mafundisho, baadhi ya maswali yamerudiwa rudiwa kuulizwa. Inafikiriwa kuwa majibu ya maswali haya yatakuwa msaada wa maana sana kwa wengine kwa hiyo kitabu hiki kimeandikiwa ikiwa ni mkusanyiko wa majibu ya maswali ambayo yaliulizwa mara nyingi.



