Muziki Wa Zamani Wa Tanzania Na Harakati Za Ukombozi

저자
정보 없음
출판사
Lulu.com
출판일
20190511
ISBN
9780359653256
ISBN 등록 지역
영어권 (ISBN 978-0)

소개

Kitabu hiki cha muziki wa zamani wa Tanzania na harakati za ukombozi kinagusia baadhi ya nyimbo ambazo kwa 'namna' Fulani zinagusia suala la ukombozi. Ukombozi ni mada pana sana na jambo hili litajidhihirisha katika kitabu hiki.