Noah Henry: Hadithi ya Upinde wa Mvua

저자
정보 없음
출판사
Tbr Books
출판일
20201015
ISBN
9781636070223
ISBN 등록 지역
영어권 (ISBN 978-1)

소개

Kama siku yoyote?nyingine,?Noah?Henry anajitayarisha kwenda shuleni-lakini, wazazi wake wanamwambia kwamba shule?yake?imefungwa.?Zaidi?ya hilo,?bustani ya wanyama?pia imefungwa na hataweza kucheza na rafiki?zake?wanaoishi mle.?Mambo hayabadiliki?hata wakati?Noah?na?kaka?yake mdogo?wananawisha?mikono?yao kama?walivyoambiwa?na walimu?wao.