

소개
Kitungule anataka tu kujifurahisha! Lakini sungura wengine wadogo wanamkataa kwa sababu hafanani na wao. Kwa bahati nzuri, Kitungule anakutana na kipepeo mwenye huruma ambaye anamsaidia kupata marafiki wanaomshangilia jinsi alivyo. Sungura wengine wadogo walipoomba kujiunga nao, wanagundua ukwel mzuri: tofauti zetu zinatufanya tuonekane na upekee maalum. Hadithi inayosisimua na kutufunza kuhusu wema, urafiki na uzuri wa utofauti.



