

소개
Rosa Mistika ni riwaya inayohusu masaibu ya msichana Rosa aliyelelewa katika mazingira ya udhibiti wa kidini na kimila katikati ya lindi la umaskini; baadaye akakabiliwa na vishawishi pale alipoingia katika shule ya bweni na kisha chuo cha ualimu. Kutokana na malezi aliyoyapata, anashindwa kuvidhibiti vishawishi hivyo, hatimayeanapoteza maisha.



